MKUTANO MKUU WA UTPC 2008 KATIKA PICHA
![]()
Katibu Mtendaji wa MCT Anthony Ngaiza, akitoa nasaha zake kwenye mkutano mkuu wa UTPC. Waliokaa kulia kwake ni Rais wa Zamani wa UTPC, Ulimboka Mwakilili. Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC, Abubakar Karsan na Makamu Rais wa zamani Bibi Habiba Swedi.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa UTPC katika picha ya pamoja.
Kamishna Mkuu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Paul Ntobi akitoa mada kwenye mkutano mkuu wa UTPC. Walio kaa kulia kwake ni Rais wa Zamani wa UTPC, ULimboka Mwakilili na Mkurugenzi Mtendaji wa UTPC, Abubakar Karsan.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Said Kalembo akitoa hotuba kwenye mkutano mkuu wa UTPC.